Tetema Lyrics – Rayvanny Ft. Diamond Platnumz

Posted on September 07, 2019
By Editor
  • Share story:
1,504 Views

Lyrics

Read Tetema Lyrics by Rayvanny and Diamond Platnumz below:

Intro:

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Tipo tipo tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Shuka chini tetema

(ooh mama tetema Its s2kizzy beiby)

Verse 1:

Tetema yaani kama umepigwa shoti

Tetema nipe migandisho ya roboti

Tetema ukutani hadi kwenye kochi

Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga (ooh mama)

Nakapandiza za bukoba (ooh mama)

Nakapadisha bodaboda (ooh mama)

Kakichoka kuchuma mboga(ooh mama)

Aaai mama shigidi aah

Nakufa wooi wikidi aai Aaai mama shigidi konki

Fire, motoo, liquidi Aya twende tetema

Chorus:

(ooh mama tetema)

Tipo tipo tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Shuka chini tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Tipo tipo tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Shuka chini tetema

(ooh mama tetema)

Verse 2:

Tetema! Yaani kama vile generator

(tetema) Kama mwizi kakupiga ngeta

(tetema) Mwendo wa kutunga kupepeta

(tetema) Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza! Wooza!

Cheza shogoloza Kufa chali kama mende

Maria Roza poza tungi limepoza

Twende nikupige nyembe(brrr…Okey)

You make my mind go kololo(kolooo…kolo)

Ukinuna tu mie toro(torooo…toro)

Washa! Saa nipe za digidigi

Washa! Miuno ya kiki kiki Washa!

Funga kibindo mkwichi kwichi Washa!

Nikunyonge ka zigizigi Teeete!

Chorus:

(ooh mama tetema)

Tipo tipo tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Shuka chini tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Tipo tipo tetema

(ooh mama tetema)

Aya twende tetema

(ooh mama tetema)

Shuka chini tetema

(ooh mama tetema)

Vese 3:

Ayo Lizzer,

Chii Kichaa kime-kime-kimempata

Ame we who

kime-kimempata Kapandisha

mizuka kime-kimempata

Ana ruka ruka kime-kimempata

Kichaa kime-kime-kimempata

Kapanda juu ya meza kime-kimempata

Eti anavua shati kime-kimempata

Na leo anatesa kime-kimempata

Yaani varangata Waasafii…

-->